- 573 viewsDuration: 2:10Wabunge leo wamemuomboleza aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga huku wengi wakitaja ushirikiano wao naye. Baadhi ya wabunge wakikumbuka mchango wa Raila kwenye maisha yao ya kisiasa, wakisema kenya imepoteza mti na galacha wa siasa