16 Oct 2025 7:59 pm | Citizen TV 949 views Duration: 2:18 Ukumbi wa kutazama mwili wa aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga huko Kisumu umebadilishwa kuwa uwanja wa Jomo Kenyatta wa Mamboleo siku ya Jumamosi