Wakazi zaidi ya 42,000 kaunti ya West Pokot wanakabiliwa na hatari ya upofu

  • | Citizen TV
    84 views

    Zaidi ya wakazi alfu 42 katika kaunti ya pokot magharibi wanakabiliwa na hatari ya kutoona hii ni baada ya kuathirika na maradhi ya macho yanayoweza kuepukika. Kama anavyoarifu collins shitiabayi serikali ya kaunti ikishirikiana na shirika la fred hollow imo mbioni kutumia teknolojia ili kuhakikisha wote wanaokabiliwa na maradhi ya macho wanafika hospitalini kupata matibabu.