Mandera yatuzwa mji bora uliostawi kimazingira duniani

  • | Citizen TV
    1,550 views

    Baada ya kutwaa ushindi kwenye tuzo ya dunia ya miji iliyoimarisha zaidi mazingira nchini Uholanzi, ujumbe wa kaunti ya Mandera umewasili nchini mapema hii leo. Kaunti hii iliibua mshindi dhidi ya mji wa Liverpool nchini Uingereza na Melbourne wa Australia. Mandera imetuzwa kwa juhudi zake za uimarishaji mazingira.