Waziri wa afya asema kufikia sasa ni wakenya milioni mbili waliojisajili kwenye bima mpya ya SHA

  • | Citizen TV
    229 views

    Waziri wa afya dkt. Deborah Barasa amesema kuwa kufikia sasa ni wakenya milioni mbili waliojisajili kwenye bima mpya ya matibabu ya SHA. Akihojiwa kwenye kamati ya bunge kuhusu afya, Barasa amesema kuwa mpango huo mpya utatoa huduma bora zaidi ya ilivyokuwa chini ya NHIF.