Usajili wa SHA wakumbwa na changamoto Samburu

  • | Citizen TV
    128 views

    Kaunti ya Samburu inalenga kuwasajili wakazi zaidi ya laki tatu kwenye bima mpya ya matibabu ya SHA. Baadhi ya wakazi wanataka kuhamishwa kutoka bima ya zamani ya NHIF hadi SHA na wizara ya afya badala ya kusajiliwa upya.Hata hivyo uzinduzi huo uligubikwa na changamoto kama anavyoarifu Mwanahabari wetu Bonface Barasa.