Serikali Yaanza Kutoa Chanjo Ya Polio Kwa Watoto Turkana

  • | Citizen TV
    40 views

    Wizara ya afya katika Kaunti ya Turkana imezindua mpango wa chanjo ya ugonjwa wa polio kwa watoto wasiozidi umri wa miaka mitano.