Serikali yatakiwa kudhibiti magonjwa ya macho miongoni mwa watoto

  • | Citizen TV
    299 views

    Asilimia 20 ya wakazi wa Baringo wako katika hatari ya kupoteza uwezo wao wa kuona iwapo hatua ya haraka haitachukuliwa kudhibiti magonjwa ya macho .