Viongozi Wa Kidini Wa Mlima Kenya Wataka Amani

  • | Citizen TV
    1,078 views

    Viongozi wa kidini kutoka Kanisa la Kianglikana kutoka eneo bunge la kabete wamemtaka rais William Ruto kujitokeza na kutoa msimamo wake katika swala linaloendelea la kubanduliwa kwa naibu wake rigathi gachagua wakisema kunyamaza kwake rais kunaashiria tofauti kati yake na naibu wake. Wamezungumza haya katika eneo bunge la kabete wakipokezana mwenge wa imani kutoka kwa dinari ya kiambaa,wa kusherehekea miaka 40 tangu kuanzishwa kwa Kanisa hilo.