Wanasiasa wawili waitwa na NCIC kujibu madai ya uchochezi

  • | Citizen TV
    357 views

    Tume ya kitaifa ya uwiano NCIC imewaita wanasiasa wawili kutoka kaunti ya Tanariver kufuatia vita vinavyoendelea katika mpaka wa Kitui na Tanariver.