Shule ya upili ya Leshuta yapewa msaada wa vitanda

  • | Citizen TV
    305 views

    Wasichana katika maeneo ya wafugaji wameombwa kutilia maanani masomo kwa maisha bora ya baadaye.