Rais wa Iran awapokea marais wenzake wa Russia na Uturuki kwa mazungumzo.

  • | VOA Swahili
    2,766 views
    Rais wa Iran amewapokea marais wenzake wa Russia na Uturuki leo kwa ajili ya mazungumzo kuhusiana na vita vya Syria katika Mkutano wa pande tatu uliogubikwa na msukosuko wa uvamizi wa Russia nchini Ukraine.