Madereva wa teksi za mitandaoni waandamana Mombasa

  • | Citizen TV
    2,649 views

    Madereva wa teksi za mitandaoni kaunti ya Mombasa wamefanya maandamano kulalamikia mauwaji ya mmoja wa madereva ambaye mwili wake ulipatikana umetupwa katika kichaka huko Mai mahiu ijumaa iliopita.