Polisi wakamata washukiwa wawili baada ya kupatikana na mtoto wa miezi tisa aliyeibwa Nakuru

  • | Citizen TV
    4,576 views

    Polisi mjini Kitale wanawazuilia washukiwa wawili baada ya kupatikana na mtoto wa miezi tisa aliyeibwa kutoka kaunti ya Nakuru siku ya jumatatu. Inaaminika kuwa washukiwa hao walikuwa wakimpeleka mtoto huyo nchini uganda. Collins Shitiabayi na taarifa hiyo.