Mfumo wa kidijitali wa kutafuta soko wazinduliwa Nakuru

  • | Citizen TV
    136 views

    Wakulima wanatarajiwa kuongeza faida ya mazao yao kufatia uzinduzi wa mfumo wa kidijitali utakaowawezasha kupata soko la mazao yao moja kwa moja pasipo kutumia mawakala.