Serikali ya kaunti ya Tharaka Nithi yafungua maktaba ya jamii ya Gatunga

  • | Citizen TV
    192 views

    Wakazi wa eneo la Gatunga, kaunti ya Tharaka Nithi, sasa wana kila sababu ya kutabasamu baada ya kukamilika kwa ujenzi wa maktaba kwa ufadhili wa serikali ya Amerika na ile ya Tharaka Nithi. Maktaba hii itatumika kwa ukaribu na Zaidi ya wenyeji elfu 20, wakiwemo wanafunzi wa chuo kikuu cha Tharaka.