Skip to main content
Skip to main content

Maelfu ya waombolezaji walikusanyika katika uwanja wa Nyayo hapa jijini Nairobi

  • | Citizen TV
    18,166 views
    Duration: 5:35
    Maelfu ya waombolezaji walikusanyika katika uwanja wa Nyayo hapa jijini Nairobi kutoa heshima zao za mwisho kwa hayati Raila Odinga. Wengi wao walirauka asubuhi kutoka maeneo tofauti tofauti na kujumuika kwa ibada ya mazishi ya kitaifa.