- 14,307 viewsDuration: 3:34Aliyekuwa waziri wa usalama wa kitaifa Fred Matiang’i, amezungumzia yaliyojiri mwaka 2018 Raila Odinga alipojiapisha kama Rais wa wananchi. Matiang’i pia ameelezea jinsi Odinga alivyomshawishi kufutilia mbali azma yake ya kugombea urais mwaka 2022, kando na kusimama naye, hasa baada ya boma lake kuvamiwa baada ya uchaguzi huo.