Shule ya Kasarani Group yaibuka kidedea kwa unenaji

  • | KBC Video
    6 views

    Wanafunzi wa shule ya Kasarani Group of Schools jijini Nairobi wameandikisha historia kwa kushinda mashindano ya mjadala kanda ya Afrika Mashariki. Mashindano hayo yaliyoandaliwa jijini Dar es Salaam, Tanzania, yaliwavutia wanafunzi kutoka shule mbalimbali za kanda hii kuonyesha umahiri wao wa kujadili masuala mbalimbali. Washindi watawakilisha Afrika Mashariki kwenye mashindano ya ulimwengu yatakayoandaliwa nchini Poland

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive