- 224 views
Katika kaunti ya Isiolo , wenyeji wa jamii ya Garbatulla wamelalamikia kuwachwa nje katika mradi wa ujenzi wa barabara kuu ya kutoka Isiolo-Modogashe hadi kaunti jirani ya Mandera , wakisema kwamba hawajapata manufaa kwa mradi huo , kama vile nafasi za ajira au hata kampuni inayojenga barabara hiyo, kurejesha mkono kwa miradi kwa jamii ya Garbatulla , ikizingatiwa kwamba , kampuni hiyo ya ujenzi inatumia baadhi ya bidhaa za ujenzi kutoka eneo hilo la Isiolo bila malipo yeyote. Loise Wangui anaarifu.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Wakazi Garbatulla, walalamika kutonufaika kutokana mradi wa ujenzi wa barabara wa Isiolo-Modogasha
- - Duniani Leo ››
- 27 Aug 2025 - The CS also revealed the exact date of the rollout.
- 27 Aug 2025 - The former DP said there was an intricate plan to eliminate him.
- 27 Aug 2025 - MCAs plot Sakaja ouster over broken promises
- 27 Aug 2025 - Kakamega, Bungoma top in new 24,000 TSC promotions
- 27 Aug 2025 - Where's our kin?: Fury after another body mix-up at mortuary
- 27 Aug 2025 - Old habits die hard: How colonial blues have impeded constitutionalism in Kenya
- 27 Aug 2025 - Why M-Pesa could not gain traction in South Africa
- 27 Aug 2025 - Bribing Washington: Rutos US lobby scandal
- 27 Aug 2025 - Pressure mounts on Duale to take responsibility over SHA fraud
- 27 Aug 2025 - The two-wheeled killer rides costing Kenya billions in losses