- 139 views
Rais wa kakamega Homeboyz Cleophas Shimanyula ameahidi kuwa yuko kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais wa shirikisho la kandanda ili kushinda na sio kujaza nafasi ya uwaniaji. kabla ya mwezi wa Oktoba Shimanyula hakuwa ametangaza kuwa atasimama kuwania kiti hicho lakini baada ya kushauriana na washikadau wa soka akaamua kuendea kiti hicho huku naibu mwenyekiti wa Bandari Twaha Mbarak akiwa naibu wake.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Rais wa Kakamega Homeboyz Cleophas Shimanyula aahidi kuwa yuko kwenye kinyang'anyiro cha urais FKF
- - Duniani Leo ››
- - Duniani Leo ››
- 27 Aug 2025 - The CS also revealed the exact date of the rollout.
- 27 Aug 2025 - The former DP said there was an intricate plan to eliminate him.
- 27 Aug 2025 - Where's our kin?: Fury after another body mix-up at mortuary
- 27 Aug 2025 - Old habits die hard: How colonial blues have impeded constitutionalism in Kenya
- 27 Aug 2025 - Why M-Pesa could not gain traction in South Africa
- 27 Aug 2025 - MCAs plot Sakaja ouster over broken promises
- 27 Aug 2025 - Kakamega, Bungoma top in new 24,000 TSC promotions
- 27 Aug 2025 - KQ back down to earth after Sh12.15b half-year loss
- 27 Aug 2025 - Tracing the treacherous, bloody road to enactment of new laws
- 27 Aug 2025 - How counties are breaking law that created them