Bawabu katika bunge la kaunti ya Nyamira ateketezwa

  • | Citizen TV
    1,068 views

    Polisi wanawazuilia watu wawili kuhusiana na tukio ambapo bawabu katika Bunge la kaunti ya Nyamira aliteketezwa siku moja baada ya sokomoko kushuhudiwa katika bunge hilo. Aidha boma la mwakilishi wadi wa Bomwagamo, ambaye pia ni kiongozi wa wachache katika bunge hilo liliteketezwa na umati wa watu.