- 75,589 viewsDuration: 3:18Hatimaye mwili wa mwendazake Raila Amollo Odinga umefika nyumbani kwake Bondo kaunti ya Siaya ambapo ulipokewa na familia yake wakiongozwa na mjane wake Mama Ida Odinga na wanawe, Rosemary na Raila Junior, jamaa na wakaazi wa eneo hilo.Mwili huo ulisafirishwa kwa ndege la ili kuokoa muda. Baada ya familia na baadhi ya viongozi kuutazama mwili huo, wakazi hao walipewa fursa ya kuutazama mwili wa marehemu na kutoa heshima zao kabla ya mazishi yake siku ya Jumapili.