Skip to main content
Skip to main content

Baraza la wazee na viongozi wa kisiasa zilisafirisha fahali na zawadi zingine Bondo

  • | Citizen TV
    28,955 views
    Duration: 3:26
    Waombolezaji kutoka jamii mbalimbali walifajiri familia ya hayati Raila Odinga nyumbani kwake katika shamba la Opoda, Bondo, kaunti ya Siaya. Jamii hizo ambazo ziliongozwa na baraza la wazee na viongozi wa kisiasa zilisafirisha fahali na zawadi zingine moja kwa moja kama ishara ya heshima na shukran kwa aliyekuwa Waziri mkuu Raila Odinga.