- 1,722 viewsDuration: 3:15Shamba la Opoda huko Bondo nyumbani kwa hayati Raila Amollo Odinga imeshuhudia wageni kutoka pembe tofauti ya nchi waliofika kuomboleza kifo cha Odinga. Viongozi wa kisiasa walikuwa miongoni mwa waliofika kuifariji familia ya Odinga. Wote wakimtaja mwendazake kama kiongozi ambaye siku zote alipigania maslahi ya wananchi.