- 6,104 viewsDuration: 4:11Wakenya kutoka maeneo mbalimbali kwa sasa wako njiani kuelekea Bondo, kaunti ya Siaya kwa mazishi ya hayati Raila Odinga. Aidha hafla mbalimbali za maombi na kuwasha mishumaa ikishuhudiwa katika kaunti kadhaa. Hii ikiwa njia moja ya wakenya kuenzi mchango wake katika uongozi na demokrasia ya taifa hili.