Skip to main content
Skip to main content

Wazee kutoka jamii toafuti wapeleka ng'ombe na kukabidhi familia ya Raila

  • | NTV Video
    1,887 views
    Duration: 2:25
    Ngoma, nyimbo na vigelegele vya majonzi vilisika kijijini Opoda, ambapo ni maskani ya shamba ya Raila Amollo Odinga. Ni nyimbo za mapambano, ngoma za heshima na mambo mengine yanyoambatana na utamaduni wa kumkumbuka mtu mwenye hadhi katika jamii anapokata roho Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya