Skip to main content
Skip to main content

Wanamuziki watumia talanta yao kumuomboleza hayati Raila kwa nyimbo na densi

  • | Citizen TV
    31,396 views
    Duration: 6:23
    Risala za rambi rambi zinaendelea kumiminika kwa familia na jamaa za aliyekuwa waziri mkuu Raila Amollo Odinga. Na huku baadhi wakiandika jumbe zao za mwisho kwenye kitabu cha rambirambi, wanamuziki walitumia talanta yao kumuomboleza kiongozi ambaye pia alipenda nyimbo na densi.