- 16 views
Maafisa wa polisi wamenasa na kuharibu mashine 20 za michezo ya kamari katika maeneo ya Athi River na Mlolongo kufuatia kampeni kali ya kukomesha michezo ya kamari katika maeneo hayo. Msako huo ulichochewa na kilio cha wananchi wanaodai ongezeko la michezo hiyo linahatarisha usalama katika eneo hilo.Kamishna wa kaunti ya Machakos, Josephine Ouko, aliwatahadharisha wakazi dhidi ya kutumia fedha zao zote kwenye michezo ya kamari. Inahofiwa kwamba vyumba ambapo michezo ya kamari huchezewa ni hatari kwa usalama kwani vijana wasiokuwa na ajira wanamiminika humo kujaribu bahati yao.
Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Mashine za kamari zanaswa Athi River na Mlolongo
- 21 Jul 2025 - Activist Boniface Mwangi has been charged with unlawful possession of ammunition following his Saturday evening arrest at his home in Lukenya, Machakos County.
- - Family of 72-year-old man charged with conspiracy to murder protests case delay
- 21 Jul 2025 - The Directorate of Criminal Investigations (DCI) is seeking 21 days to detain Kennedy Kalombotole, the prime suspect in the murder of two patients at Kenyatta National Hospital. Kalombotole was arraigned at the Kibera Law Courts on Monday in connection…
- 21 Jul 2025 - The program is the first of its kind in the country.
- 21 Jul 2025 - Trans Nzoia Governor George Natembeya is back in office following the lapse of a 60-day ban issued by the court over corruption allegations.
- 21 Jul 2025 - He is accused of being in possession of two unused teargas canisters and one blank bullet.
- 21 Jul 2025 - Government drops terrorism charges against activist Boniface Mwangi
- 21 Jul 2025 - Trump and Epstein: What was their relationship?
- 21 Jul 2025 - David Maraga: From CJ to activism, could he become King?
- 21 Jul 2025 - The affected will have their lands reallocated or repossessed.