- 4 views
Mwakilishi wa wanawake bungeni wa kaunti ya Turkana Cecelia Asinyen Ngitit amekashifu vikali mauaji ya Daktari Johnson Ekai Paringa na majambazi wanaoaminika kutoka kaunti jirani ya pokot magharibi.Akizungumza wakati wa mazishi ya Paringa katika kijiji cha Aligoi, Ngitit alimtaka kamishna wa kaunti ya Turkana na maafisa wa usalama kushirikiana na wenzao kutoka kaunti jirani ili kuwasaka na kuwakamata wahusika wa mauaji hayo. Suala la utovu wa usalama haswa mashambulizi ya wahudumu wa afya katika kaunti ya Turkana limekithiri huku wakazi wakiitaka serikali kuchukua hatua mwafaka kurejesha utulivu.
Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News
Wakazi Turkana walalamikia mauaji ya Daktari
- 21 Jul 2025 - Activist Boniface Mwangi has been charged with unlawful possession of ammunition following his Saturday evening arrest at his home in Lukenya, Machakos County.
- - Family of 72-year-old man charged with conspiracy to murder protests case delay
- 21 Jul 2025 - The Directorate of Criminal Investigations (DCI) is seeking 21 days to detain Kennedy Kalombotole, the prime suspect in the murder of two patients at Kenyatta National Hospital. Kalombotole was arraigned at the Kibera Law Courts on Monday in connection…
- 21 Jul 2025 - The program is the first of its kind in the country.
- 21 Jul 2025 - Trans Nzoia Governor George Natembeya is back in office following the lapse of a 60-day ban issued by the court over corruption allegations.
- 21 Jul 2025 - He is accused of being in possession of two unused teargas canisters and one blank bullet.
- 21 Jul 2025 - Government drops terrorism charges against activist Boniface Mwangi
- 21 Jul 2025 - Trump and Epstein: What was their relationship?
- 21 Jul 2025 - David Maraga: From CJ to activism, could he become King?
- 21 Jul 2025 - The affected will have their lands reallocated or repossessed.