- 28 views
Chama cha wasaidizi katika vyumba vya upasuaji kinaitaka serikali kuharakisha mchakato wa kuwaajiri wataalamu zaidi. Maafisa hao wanalalamikia ukosefu wa nafasi za ajira licha ya kuwa na elimu na ujuzi unaohitajika.Wakizungumza wakati wa uchaguzi wa viongozi wa chama hicho jijini Nairobi, wanachama ghao walisema wanatekeleza jukumu muhimu la kuokoa maisha lakini wamepuuzwa na hawalipwi ipasavyo kuambatana na kazi yao. Zaidi ya hayo, walidai unyanyasaji na vitisho kwa wanachama wao wakati wanapokuwa kazini katika vyumba vya upasuaji kwenye vituo vya afya vya serikali, wakiitaka serikali kuimarisha wakitaka mazingira ya utendakazi
Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Wasaidizi kwenye vyumba vya upasuaji wadai kutelekezwa
- 21 Jul 2025 - Activist Boniface Mwangi has been charged with unlawful possession of ammunition following his Saturday evening arrest at his home in Lukenya, Machakos County.
- - Family of 72-year-old man charged with conspiracy to murder protests case delay
- 21 Jul 2025 - The suspect is under investigation for two hospital murders.
- 21 Jul 2025 - Judges had in 2015 sentenced five of the accused to death and the remaining seven to life imprisonment.
- 21 Jul 2025 - Muthoni noted that the ministry is reviewing its HIV and TB programs to ensure they remain effective
- 21 Jul 2025 - Activist Boniface Mwangi has been released on a Ksh1 million personal bond after pleading not guilty to charges of unlawful possession of ammunition.
- 21 Jul 2025 - Beijing has said the development will prioritise ecological protection and boost local prosperity.
- 21 Jul 2025 - “Accommodation fees must fall. If they don’t, there will be no UON,” the students said.
- 21 Jul 2025 - The Directorate of Criminal Investigations (DCI) is seeking 21 days to detain Kennedy Kalombotole, the prime suspect in the murder of two patients at Kenyatta National Hospital. Kalombotole was arraigned at the Kibera Law Courts on Monday in connection…
- 21 Jul 2025 - The Office of the Director of Public Prosecutions (ODPP) has also requested the court to allow police to detain the suspect for 21 more days pending the completion of investigations.