Polisi wamwachilia huru mwanaharakati Boniface Mwangi

  • | Citizen TV
    3,334 views

    Mwanaharakati Bonface Mwangi ameachiliwa bila kufunguliwa mashtaka yoyote. Mwangi alikamatwa jana kwa tuhuma za kuchochea ghasia. Mwangi alikuwa ametishia kuwashinikiza vijana kujitokeza barabarani wakati wa mbio za Standard Chartered Marathon. alizuiliwa katika kituo cha polisi cha Kamukunji baada ya kukamatwa nyumbani kwake Machakos. Mwangi anasemekana kuwaagiza wafuasi wake kubeba mabango ya kumkashifu rais william ruto na kumiminika katika barabara ambapo mbio hizo zilipangiwa kufanyika.