Kampeni za kuwakuza wanawake zaanzishwa

  • | Citizen TV
    251 views

    Kundi la kina mama kutoka kaunti za Bomet,Kiambu,Samburu na Homa Bay limeanzisha kampeni za kukuza wanawake wachanga kwenye uongozi wakisema kuwa hapa nchini wanawake hawajapewa hamasisho ya kutosha. Azma yao kuu ikiwa ni kujadili changamoto zinazowakabili wanawake wanapojiunga na siasa ili kutafuta suluhu ya kudumu.