- 975 viewsHispania inakabiliana na maafa makubwa zaidi ya mafuriko kuwahi kutokea katika miongo kadhaa huku takriban watu 95 wakifariki na wengine kupotea baada ya mvua kubwa kunyesha katika jimbo la mashariki la Valenica na maeneo mengine. Mvua iliyonyesha Jumanne ilisababisha mafuriko ambayo yalisomba madaraja na majengo na kuwalazimu watu kupanda juu ya paa au kung'ang'ania miti ili kunusurika Rais Pedro Sánchez ametangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa huku ya mvua ikiendelea #bbcswahili #uhispania #haliyahewa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Mafuriko Hispania
- - Sam's Sense ››
- - Bonyo's Bone ››
- - Kaikai's Kicker ››
- - Yvonne's Take ››
- 16 May 2025 - Former top cop Charles Owino provides compelling analogy of how to commit murder
- 16 May 2025 - Private firm to inject Sh12.3b to revive sugar factories
- 16 May 2025 - CMA approves Standard Group's Sh1.5b rights issue
- 16 May 2025 - 24 million Kenyans wear mitumba: Report
- 16 May 2025 - PS Omollo: Homa Bay ready to host Madaraka Day celebrations
- 16 May 2025 - Residents protest neglect of colonial-era DC's office
- 16 May 2025 - PSC distances itself from UoN leadership wrangles
- 16 May 2025 - Magwanga escapes alleged gun attack after death of Kasipul MP
- 16 May 2025 - Gachagua's party joins country's growing special-purpose vehicles
- 16 May 2025 - Somalia training special armed unit to face off with al-Shabaab