Makatibu hamsini na moja wameapishwa leo

  • | K24 Video
    244 views

    Rais William Ruto amekamilisha kusuka serikali yake ya kenya kwanza . Hii ni baada ya makatibu wote 51 wa wizara mbali mbali kuapishwa hii leo katika ikulu ya Nairobi. Katika hotuba yake, rais amewapa makatibu hao changamoto ya kuhakikisha wameboresha maisha ya wakenya.