Mipango ya uendelezaji wa vituo vya data

  • | K24 Video
    13 views

    Mkurugenzi mkuu wa e-citizen, Isaac Ochieng, amepinga madai ya mkaguzi mkuu wa mahesabu serikalini, Nancy Gathungu, kwamba serikali ina udhibiti finyu wa jukwaa la malipo ya huduma za e-citizen. Kulingana na Ochieng, watu binafsi wanaodaiwa kuwa na udhibiti wa mfumo huo wameajiriwa tu kwa ajili ya kuuendeleza, na ni serikali ndiyo inayodhibiti e-citizen .