
84 views
19 Jun 2016
Artist: GENE Song: ID(KITAMBULISHO) Audio: STILL ALIVE Video: Cleancity Media Cleancity Media 2016 GENESEES ENTERTAINMENT CONTACTS: Email: kenyagene@gmail.com Facebook: genekenya Twitter: @genekenya Instagram: genekenya ID(KITAMBULISHO) LYRICS: Intro: Yeaay....yeaay....wooow Yeaay....yeeay....ayaay Wowoooow..... Ni Gene juu ya kazi Chorus: Sitasweat nikoset hata kama mimi sina...ID Satisfaction na protection ya baba haitishi...ID Yesu (ni yesu) ni kitambulisho changu ni Yesu (aaaah) Yesu (ni yesu) ni kitambulisho changu mbinguni *2 Verse: 1 Subira kumi na nane na umri ukafika Ajira kutuma pesa, akaunti ntafungua Nilijua lolote ningeweza Kwenye jua-mvua, ningetambulika Asubuhi mapema nikaraukia Nisipate foleni, nisikate tamaa Vidole vikafinywa, picha zikapigwa Ikawa ningoje tu, mda wiki mbili Chorus: Verse 2. Baada ya mwaka moja ni Zile semi za nenda ngoja Yakajiri ya faraja nikapata -tambulisho Nilikuwa, nimetumiwa m-pesa Sikujua, wallet ilienda-na Singeweza ingia, soja alinikazia Singeweza withdraw, agent alinishow Nikabaki mi sina, njia bila ID Nilidhani ni movie tu, mlango ukafungwa Chorus: Bridge: Hupati msaada kabla hujatoa ID Mungu wangu haitishi (haitishi) ID *2 Chorus: