194 views
Mambo Mseto on Radio Citizen
Aired 31 May 2024
17:17
Msanii Johnny Junior anasherehekea miaka 15 na bendi yaake ya BV band. Anatuelezea mengi kuhusu safari yake ya sanaa ya muziki na kuhusu sherehe yake ya Nyadhi Festival