428 views
Jambo Kenya on Radio Citizen
Aired 24 Nov 2021
4:18
#JamboKenya #VincentAteya #MelodySinzore Barazani: Corina anasema "Nimekuwa kwenye ndoa kwa miaka 11, mume wangu ana gari mbili lakini haniruhusu niendeshe. Sasa nimechanga pesa ninunue yangu lakini pia hilo amekataa. Nifanyeje?