721 views
Jambo Kenya on Radio Citizen
Aired 22 Nov 2021
1:40
#JamboKenya #MelodySinzore #VincentAteya Barazani: Caleb anasema " Mke wangu amekuwa akiletwa nyumbani kila jioni na jamaa ambaye wanafanya kazi pamoja, nikimuuliza anasema kuwa 'anasave fare nisijali'. Nifanyeje? "