398 views
Waks Tiki Taka on Radio Citizen
Aired 8 Apr 2021
18:17
Leo kwenye rada safi Q-tee alibonga na Mama Eddah, akitupeleke na step ya alivyoanzisha business ya kuuza nguo na Kshs 4,000 hadi alipoanza 'The Kitchen'. #WaksTikiTaka