484 views
Mambo Mseto on Radio Citizen
Aired 29 Mar 2021
1:42
Kwenye #Barazani hii leo mume analalama kwamba tangia shule kufungwa ameambia mke wake kwamba wampe kijakazi wao rikizo ya miezi michache kabla ya watoto kurudi shuleni lakini mke amekataa , Je anaogopa kazi ama vipi? #VincentAteya