
169,886 views
Akiongea kwenye kipindi cha #DriveOnReloaded msanii kutoka kisii #Embarambamba ameweka wazi kwamba akili yake iko timamu na hataenda kupimwa akili wanavyosema baadhi ya mashabiki wake na kumuomba Rais Uhuru Kenyatta Kumsaidia ili aweze kfanikisha ndoto yake #Embarambamba #TinaOgal #MunaiGeneral #DriveOnReloaded