
941 views
Akiongea kwenye mahojiano ya moja kwa moja na Mzazi Willy Mtuva na Selly Kadot Amutabi msanii Bamboo amefichua kwamba mke wake alilelelwa kwenye ushirikina na baada ya kuhusika kwenye ajali mbaya ya barabara alifariki kisha baada akafufuka kutoka kwa wafu #Bamboo #MzaziWillyMTuva