
903 views
Akiongea kwenye kitengo cha #KiakaoChaJamboKenya Francis Gachuri alidokeza kwamba mahusiano kati ya rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto inachungulia talaka kutokana na matamshi wanao toa hadharani kwenye mikutano ya siasa #FrancisGachuri #VincentAteya #LincoInNjogu