314 views
Waks Tiki Taka on Radio Citizen
Aired 28 Jan 2021
20:47
Katibu mkuu wa chama cha ODM Edwin Sifuna amedokeza kwamba sio sumu na kuwakashifu wale ambao wanapinga BBI kwamba hawana nia njema kwa wakenya #EdwinSifuna #MelodySinzore #VincentAteya