
555 views
Baada ya tume ya uchaguzi na mipaka kuimeidhinisha kuendelezwa kwa mchakato wa BBI baada ya kuhakiki sahihi milioni 1.1. sasa Rais Uhuru Kenyatta naye mwanzake kinara wa ODM Raila Odinga wamejitokeza kupigia upato ripoti hiyo #UhuruKenyatta #RailaOdinga #BBI