460 views
Citizen Drive Show on Radio Citizen
Aired 26 Jan 2021
5:04
Hivi karibuni wafuasi wa naibu rais maarufu kama hustler [walala hoi] wameonekana kukashifu wafuasi wa handshake maarufu kama Dynasty huku wakenya wakibaki kutazama cheche za wanasiasa mitandaoni #FranisGachuri #LincoInNjogu #JamilaMohamed