
1,822 views
Baada ya Rais Uhuru Kenyatta kuhutubia baadhi ya wakenya kupitia vyombo vya habari kwa lugha ya Kikuyu wakenya wameibua hisia mseto kwenye mitandao ya kijamii na kuuliza mbona Rais wa nchi ya Kenya aliamua kuongea kwa lugha ya kikuyu #VincentAteya #MelodySinzore #Gumzo