
200 views
Mwanadada analalamika ya kwamba amatafuta mtoto kwa muda mrefu na sasa amefanikiwa kupata mimba ila mume wake amamshuku kwamba huenda amelala na mwanaume mwingine ili akapata ujaa uzito , Je tatizo liko wapi? #JamboKenya #VincentAteya #MelodySinzore